Ufafanuzi wa pinki katika Kiswahili

pinki

nominoPlural pinki

  • 1

    rangi ya wekundu hafifu au nyekundu iliyochanganyika na weupe.

    waridi

Asili

Kng

Matamshi

pinki

/pinki/