Ufafanuzi wa pipa katika Kiswahili

pipa

nomino

  • 1

    chombo kikubwa cha mviringo kilichotengenezwa kwa metali, plastiki au mbao na kinachotumika kutilia vitu k.v. maji, mafuta au taka.

Asili

Khi

Matamshi

pipa

/pipa/