Ufafanuzi msingi wa pisha katika Kiswahili

: pisha1pisha2

pisha1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa, ~wa, ~iana

 • 1

  weka au pea nafasi ili mtu au kitu kipite.

  chapuka, nega

Matamshi

pisha

/pi∫a/

Ufafanuzi msingi wa pisha katika Kiswahili

: pisha1pisha2

pisha2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa, ~wa, ~iana

 • 1

  tia makali silaha k.v. kisu au panga.

  noa

 • 2

  tia alama au kovu, agh. mnyama, kwa chuma cha moto.

Matamshi

pisha

/pi∫a/