Ufafanuzi wa pishi katika Kiswahili

pishi

nominoPlural pishi

  • 1

    kipimo cha kiasi cha vibaba vinne.

  • 2

    chombo maalumu kinachotumiwa kupimia vitu, agh. nafaka, chenye kipimo cha vibaba vinne.

Matamshi

pishi

/pi∫i/