Ufafanuzi wa pisho katika Kiswahili

pisho

nominoPlural mapisho

  • 1

    alama au kovu lililofanywa kwa chuma cha moto.

Matamshi

pisho

/pi∫ɔ/