Ufafanuzi wa pitiwa katika Kiswahili

pitiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kukumbuka.

    sahau, ghafilika, futu

Matamshi

pitiwa

/pitiwa/