Ufafanuzi wa plau katika Kiswahili

plau

nominoPlural plau

  • 1

    chombo cha kulimia kilichotengenezwa kwa chuma na kinachokokotwa kwa trekta au mnyama k.v. ng’ombe au punda.

Asili

Kng

Matamshi

plau

/plawu/