Ufafanuzi msingi wa poa katika Kiswahili

: poa1poa2poa3

poa1

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

  • 1

    pungua joto.

    ‘Wali umepoa’

Matamshi

poa

/pɔwa/

Ufafanuzi msingi wa poa katika Kiswahili

: poa1poa2poa3

poa2

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

  • 1

    kaa kimya bila ya wasiwasi.

    tulia, tabaradi, makinika, burudi, stakiri

Matamshi

poa

/pɔwa/

Ufafanuzi msingi wa poa katika Kiswahili

: poa1poa2poa3

poa3

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~za

Matamshi

poa

/pɔwa/