Ufafanuzi msingi wa pochi katika Kiswahili

: pochi1pochi2

pochi1

nominoPlural mapochi

  • 1

    mfuko mdogo, agh. wa ngozi, unaotumiwa kutilia pesa.

    kibeti

Asili

Kng

Matamshi

pochi

/pɔtʃi/

Ufafanuzi msingi wa pochi katika Kiswahili

: pochi1pochi2

pochi2

nominoPlural mapochi

  • 1

    kitu cha madini, agh. cha dhahabu, chenye umbo kama la bangili pana na huvaliwa mkononi na wanawake.

Asili

Kng

Matamshi

pochi

/pɔtʃi/