Ufafanuzi wa podoa katika Kiswahili

podoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~sha

  • 1

    pamba mtu kwa kumtia au kumpaka vitu vya manukato k.v. uturi au poda.

Matamshi

podoa

/pɔdɔwa/