kivumishi
- 1
-enye macho yasiyoona.
methali ‘Kipofu hasahau gongole’
nominoPlural pofu
- 1
mnyama mkubwa kama ng’ombe mwenye kichwa kinachofanana na cha mbuzi, pembe zilizojisokota, ana rangi ya kijivu iliyochanganyika na kahawia na milia myeupe myembamba iliyokatiza mwilini.
mbungu
kivumishi
- 1
-siokuwa na punje ndani.
‘Iliki pofu’