Ufafanuzi wa pofuka katika Kiswahili

pofuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    poteza uwezo wa kuona; kuwa kipofu; kufa macho.

Matamshi

pofuka

/pɔfuka/