Ufafanuzi wa pofusha katika Kiswahili

pofusha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    haribu uwezo wa mnyama au mtu wa kuona.

Matamshi

pofusha

/pɔfu∫a/