Ufafanuzi msingi wa poka katika Kiswahili

: poka1poka2

poka1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa ovyoovyo.

Matamshi

poka

/pɔka/

Ufafanuzi msingi wa poka katika Kiswahili

: poka1poka2

poka2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

Matamshi

poka

/pɔka/