Ufafanuzi wa polea katika Kiswahili

polea

kitenzi sielekezi~lea

  • 1

    pata riziki kwa kufanya kazi leo hapa kesho pale bila ya kuwa na kazi maalumu au ya kudumu.

Matamshi

polea

/pɔlɛja/