Ufafanuzi wa polio katika Kiswahili

polio

nominoPlural polio

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza wa mishipa katika uti wa mgongo unaosababisha kupooza kwa viungo vya mwili na mfumo mzima wa neva kwa ujumla.

Asili

Kng

Matamshi

polio

/pɔlijɔ/