Ufafanuzi wa polisemi katika Kiswahili

polisemi

nominoPlural polisemi

  • 1

    neno lenye maana mbili au zaidi zinazokaribiana sana k.m. ‘kupe’ kwa maana ya mdudu na ‘kupe’ kwa maana ya mtu anayeishi kwa kutegemea wengine.

Asili

Kng

Matamshi

polisemi

/pɔlisɛmi/