Ufafanuzi wa pona katika Kiswahili

pona

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  ondokewa na ugonjwa.

  ‘Amepona homa’
  poa

 • 2

  salimika kutokana na ajali au jambo lolote la hatari.

  ‘Gari limepinduka lakini abiria wote wamepona’

Matamshi

pona

/pɔna/