Ufafanuzi wa ponda katika Kiswahili

ponda

kitenzi elekezi

  • 1

    vunjavunja kwa kutumia kitu k.v. jiwe, kinu na mchi au mashine ili kuwa unga, vipandevipande au laini.

    funda, twanga, chakacha, seta, saga, fusa