Ufafanuzi wa ponea katika Kiswahili

ponea

kitenzi elekezi

  • 1

    pata ahueni kutokana na kitu fulani.

    ‘Ameponea chupuchupu kuuawa na simba’
    nusurika

Matamshi

ponea

/pɔnɛja/