Ufafanuzi wa pongea katika Kiswahili

pongea

kitenzi sielekezi~lea

  • 1

    toka katika hali mbaya k.v. ugonjwa.

Matamshi

pongea

/pɔngɛja/