Ufafanuzi wa pongezi katika Kiswahili

pongezi

nomino

  • 1

    neno analoambiwa mtu kwa kufurahikia mafanikio aliyoyapata.

Matamshi

pongezi

/pɔngɛzi/