Ufafanuzi wa pongoo katika Kiswahili

pongoo

nomino

  • 1

    kikuku cha shanga nene kinachovaliwa mkononi na watoto wa kike.

Matamshi

pongoo

/pɔngɔ:/