Ufafanuzi wa pono katika Kiswahili

pono

nominoPlural pono

  • 1

    samaki wa baharini ambaye hupenda kukaa mahali penye mwani au mchipwi, mwenye umbo la mviringo na rangi mbalimbali, agh. za kijani, buluu au kijivujivu mara nyingi huwa katika hali ya utulivu kama kiumbe aliyelala.

Matamshi

pono

/pɔnɔ/