Ufafanuzi wa ponoa katika Kiswahili

ponoa

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta k.v. kwenye mti au mkonge ili kutoa magome au takataka.

    ‘Ponoa mkonge’

Matamshi

ponoa

/pɔnɔwa/