Ufafanuzi msingi wa ponza katika Kiswahili

: ponza1ponza2

ponza1

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hatarini au matatani; zushia balaa; letea taabu.

    chongea, hatarisha

Matamshi

ponza

/pɔnza/

Ufafanuzi msingi wa ponza katika Kiswahili

: ponza1ponza2

ponza2

nomino

  • 1

    jambo au kitu kinachomtia mtu katika matata au taabu.

Matamshi

ponza

/pɔnza/