Ufafanuzi msingi wa popo katika Kiswahili

: popo1popo2

popo1

nominoPlural popo

  • 1

    mnyama mdogo mwenye mbawa anayefanana na panya, hupenda kula matunda na wadudu na huruka usiku.

    nundu

Matamshi

popo

/pɔpɔ/

Ufafanuzi msingi wa popo katika Kiswahili

: popo1popo2

popo2

nominoPlural popo

  • 1

    mdudu kama nondo lakini mkubwa zaidi na mwenye mbawa za kupendeza.

    kipepeo

Matamshi

popo

/pɔpɔ/