Ufafanuzi wa popoa katika Kiswahili

popoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~sha

  • 1

    angua matunda kutoka kwenye mti kwa kupiga kwa kitu k.v. jiwe au gongo.

    pura, chucha

  • 2

    rusha kitu kwa madhumuni ya kumpiga mtu.

Matamshi

popoa

/pɔpɔwa/