Ufafanuzi msingi wa pora katika Kiswahili

: pora1pora2

pora1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    nyang’anya kwa kutumia nguvu; chopoa kwa nguvu kitu kilichoshikwa na mtu.

    bokora, bwakura, nyang’anya, bakua, nyakua, pokonya

Matamshi

pora

/pɔra/

Ufafanuzi msingi wa pora katika Kiswahili

: pora1pora2

pora2

nominoPlural mapora

  • 1

    jogoo ambaye hajaanza kuwika.

Matamshi

pora

/pɔra/