Ufafanuzi wa porapora katika Kiswahili

porapora

nomino

  • 1

    mnyama anayefanana na nyegere mwenye milia mwilini na hula asali.

Matamshi

porapora

/pɔrapɔra/