Ufafanuzi wa pori katika Kiswahili

pori

nominoPlural pori

  • 1

    mahali penye miti mingi, vichaka na nyasi.

Asili

Kar

Matamshi

pori

/pɔri/