Ufafanuzi wa porojo katika Kiswahili

porojo

nomino

  • 1

    mazungumzo ya kupitisha wakati.

    soga, domo, gumzo, pwaji

Matamshi

porojo

/pɔrɔʄɔ/