Ufafanuzi wa poromoa katika Kiswahili

poromoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    fanya mkusanyiko wa vitu vingi vianguke kwa mfululizo kutoka juu.

Matamshi

poromoa

/pɔrɔmɔwa/