Ufafanuzi wa poromoka katika Kiswahili

poromoka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    anguka kwa mfululizo mkusanyiko wa vitu vingi vilivyo juu.

    gwa, anguka

Matamshi

poromoka

/pɔrɔmɔka/