nominoPlural maporomoko
- 1
anguko la mkusanyiko wa vitu kwa wingi na kwa mfululizo kutoka juu.
nominoPlural maporomoko
- 1
mteremko mkali, agh. katika kingo za mto au bonde.
gema, genge, korongo