Ufafanuzi wa posta katika Kiswahili

posta

nominoPlural posta

  • 1

    shirika linaloshughulika na huduma za upelekaji na upokeaji wa barua na vifurushi.

Asili

Kng

Matamshi

posta

/pɔsta/