Ufafanuzi wa pota katika Kiswahili

pota

kitenzi elekezi

  • 1

    sokota uzi au kamba na kufanya uzi mmoja au kamba madhubuti.

    dirabu

Matamshi

pota

/pɔta/