Ufafanuzi wa poteza katika Kiswahili

poteza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  kosa kuona mahali kitu kilipo.

  ‘Amepoteza kitabu cha benki’
  hiliki, atili, fuja

 • 2

  ‘Baada ya ajali alipoteza fahamu kwa wiki moja’
  angamiza, soza

Matamshi

poteza

/pɔtɛza/