Ufafanuzi wa povu katika Kiswahili

povu

nominoPlural mapovu

  • 1

    viputoputo vya hewa vinavyotokea juu ya kitu cha majimaji, agh. kwa sababu ya kukorogwa, kuchemshwa au baada ya kutiwa vitu maalumu k.v. sabuni.

    fuo, ukafu

Matamshi

povu

/pɔvu/