Ufafanuzi wa printa katika Kiswahili

printa

nominoPlural printa

  • 1

    kifaa kinachounganishwa na kompyuta ili kuchapisha maandishi au kitu kingine kilichomo kwenye kompyuta.

    kichapishi

Asili

Kng

Matamshi

printa

/printa/