Ufafanuzi wa profesa katika Kiswahili

profesa

nominoPlural maprofesa

  • 1

    mtu mwenye cheo cha juu kabisa katika ufundishaji au utafiti wa fani za elimu ya juu katika asasi ya elimu ya juu, agh. chuo kikuu.

    ustadhi

Asili

Kng

Matamshi

profesa

/prɔfɛsa/