Ufafanuzi wa pugi katika Kiswahili

pugi

nominoPlural pugi

  • 1

    ndege mdogo anayefanana na tetere mwenye madoadoa ya kijani na buluu.

Matamshi

pugi

/pugi/