Ufafanuzi wa pukupuku katika Kiswahili

pukupuku

kielezi

  • 1

    kwa wingi.

    ‘Kilipoingia kipindupindu watu walikufa pukupuku’

  • 2

    kwa umoja; kwa pamoja.

    ‘Mchungwa ulipotikiswa, machungwa yalianguka pukupuku’

Matamshi

pukupuku

/pukupuku/