Ufafanuzi wa pukutika katika Kiswahili

pukutika

kitenzi sielekezi

  • 1

    dondoka kwa majani kutoka kwenye mti.

Matamshi

pukutika

/pukutika/