Ufafanuzi wa pukutisha katika Kiswahili

pukutisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya majani au nafaka kudondoka kutoka kwenye mashuke yake.

Matamshi

pukutisha

/pukutiāˆ«a/