Ufafanuzi wa pulizia katika Kiswahili

pulizia

kitenzi elekezi

  • 1

    elekeza upepo kutoka mdomoni au kutoka kwenye pampu mpaka kwenye sehemu fulani.

    ‘Pulizia moto’

Matamshi

pulizia

/pulizija/