Ufafanuzi wa pumbaa katika Kiswahili

pumbaa

kitenzi sielekezi~za

  • 1

    kuwa na udhaifu wa akili; kuwa na akili ambayo haikukua barabara.

  • 2

    kaa bila ya kusema au kufanya jambo lolote kwa sababu ya woga, mshangao, n.k.; shikwa na bumbuazi.

    duwaa, zimbaa, bahashika, shangaa, vuvuwaa, ajabia, zuzuwaa

Matamshi

pumbaa

/pumba:/