Ufafanuzi wa pumbao katika Kiswahili

pumbao, mpumbao

nominoPlural pumbao

  • 1

    hali ya kuduwaa.

    mzubao

Matamshi

pumbao

/pumbawɔ/