Ufafanuzi msingi wa pumbaza katika Kiswahili

: pumbaza1pumbaza2

pumbaza1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu aduwae.

    shangaza

Matamshi

pumbaza

/pumbaza/

Ufafanuzi msingi wa pumbaza katika Kiswahili

: pumbaza1pumbaza2

pumbaza2

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu awe mpumbavu.

Matamshi

pumbaza

/pumbaza/