Ufafanuzi msingi wa pumua katika Kiswahili

: pumua1pumua2pumua3

pumua1

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~ana, ~liwa

 • 1

  ingiza na kutoa hewa katika mwili wa kiumbe.

Matamshi

pumua

/pumuwa/

Ufafanuzi msingi wa pumua katika Kiswahili

: pumua1pumua2pumua3

pumua2

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~ana, ~liwa

 • 1

  pata nafasi ya kukaa bila ya kazi.

  pumzika

Matamshi

pumua

/pumuwa/

Ufafanuzi msingi wa pumua katika Kiswahili

: pumua1pumua2pumua3

pumua3

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~ana, ~liwa

 • 1

  toa adhabu ili kufidia ada ambayo haikulipwa, hasa hutumika kwa wanafunzi vyuoni.

Matamshi

pumua

/pumuwa/